Antonio
Conte amesaini miaka mitatu kuifundisha Chelsea akitokea Juventus
aliyowahi kung’ara akiwa mchezaji na baadaye kocha. Conte sasa anachukua
nafasi ya kocha wa muda wa Chelsea, Guud Hiddink. Cheki baadhi ya picha
zake.
Tuesday, April 5, 2016
ANTONIO CONTE KOCHA MPYA CHELSEA
Related Posts:
HAYA NDO MAAMUZI YA RAFA BENITEZ BAADA YA NEWCASTLE KUSHUKA DARAJA Kocha wa klabu ya Newcastle United ya Nchini Uingereza ambayo imeshuka daraja rasmi na kwenda kutafuta nafasi ya kurudi ligi kuu katika ligi daraja la kwanza ameweka wazi maamuzi yake kwa klabu hiyo. Habari kubwa kwa wepe… Read More
TAYARI MOURINHO AMEMNASA ERIC BAILLY WA VILLARREAL Eric Bailly anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Jose Mourinho katika klabu ya Manchester United. Eric Bailly amekamilisha vipimo vya afya mapema leo na tayari beki huyo ameshasaini mkataba wa miaka 4 na klabu ya Man … Read More
MNAOSUBIRI MOURINHO KUTANGAZWA KUWA KOCHA WA MAN U, HIKI NDO KINACHOCHELEWESHA DILI HILO Van Gaal ameshafukuzwa Manchester United na Matarajio ya wengi ni kusikia Mourinho akitangazwa kurithi mikoba ya Mholanzi huyo lakini kumekuwa na sababu ambayo inachelewesha Mourinho kutangazwa Rasmi. Usajili wa Mourinho… Read More
SHIRIKISHO LA MPIRA WA MIGUU AFRIKA CAF, LAMPA SHAVU MTANZANIA MICHAEL RICHARD WAMBURA Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), limemteua Michael Richard Wambura kuwa Kamishna wa mchezo wa kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika kati ya Rwanda na Msumbiji unaotarajiwa kufanyika jijini Kigali, Juni … Read More
JOSE MOURINHO ATANGAZWA RASMI KUWA KOCHA WA MANCHESTER UNITED JOSE MOURINHO ametangazwa rasmi kuwa kocha mkuu wa Manchester United kwa mkataba wa miaka 3. Mourinho amechukua mikoba ya Louis Van Gaal na anakuwa kocha wa 25 kwa United. Hii hapa ni tweet ya akaunti rasmi ya Machester … Read More
0 comments:
Post a Comment