Monday, October 3, 2016
MATOKEO YA WEEKEND NA MSIMAMO WA LALIGA
Related Posts:
Gareth Bale Asisitiza Hana Bifu Na Christiano Ronaldo Gareth Bale amekanusha uvumi unaomhusisha yeye kutokuwa na mahusiano mazuri na mchezaji mwenzie Christiano Ronaldo maarufu kama CR7, akisema ana mahusiano mazuri tu na mchezaji huyo na kamwe hajawahi kuingia katika mzozo… Read More
VILLARREAL YAFUZU KUSHIRIKI UEFA CHAMPIONS LEAGUE MSIMU UJAO KLABU ya Villarreal ya nchini Hispania imefuzu kushiriki mashindano ya Uefa Champions League msimu ujao baada ya ushindi wao wa jana dhidi ya Valencia. kama ilivyo katika ligi kuu ya nchini England, EPL kutoa timu 4 zina… Read More
Mengine Yakustaajabisha Yanayomhusu Neymar Jr Ni mara chache sana hutokea mtu kumsikitikia mchezaji Mkubwa anaepata kipato kidogo, lakini habari zilizovuja hivi punde kupitia mtandao wa Football Leaks zinaonyesha kwamba Neymar anapata Sh. Milioni 240 kw… Read More
MBIO ZA UBINGWA LA LIGA ZAZIDI KUWA NGUMU Barcelona inazidi kubaki kileleni kwa tofauti tu ya magoli na Atletico huku zikiwa zimebaki mechi mbili tu kumaliza msimu baada ya ushindi wao wa jana wa 2 – 0 magoli yaliyofungwa na Rakitic na Luis Suarez dhidi ya Real … Read More
Zinedine Zidane Akwepa Uvumi Unaomhusisha James Rodriguez Kuondoka Madrid kocha wa Real Madrid Zinedine Zidane amekwepa kutolea maelezo uvumi unaosambaa kuhusu mchezaji wake James Rodriguez kuihama klabu hiyo. James amekuwa akisugua benchi siku za hivi karibuni hali ambayo inazua mijadala kwa w… Read More
0 comments:
Post a Comment