Saturday, June 4, 2016

STARS YAKUBALI KICHAPO NYUMBANI

Michuano ya kufuzu kombe la mataifa ya Afrika (AFCON)

Taifa Stars 0 - 2 Misri
                                     Salah 43', 56'

Timu zilizofuzu hadi sasa;

Gabon- Wenyeji wa michuano hii
Cameroon
Morocco na 
Misri.

0 comments:

Post a Comment