BEKI WA BLACK LEOPARDS YA AFRIKA KUSINI KUTUA SIMBA
Mwenyekiti wa kamati ya usajili Simba Hans Poppe yupo katika mazungumzo na Beki wa kati wa klabu ya Black leopards ya nchini Afrika kusini Harry Nyirenda.
Hans Pope yupo nchini Zimbabwe kukamilisha usajili wa kocha Kalist…Read More
HAWA NDIO WACHEZAJI 10 WANAOTAKIWA NA MOURINHO MAN U
Mourinho ameshakabidhiwa mikoba katika klabu ya Man U na sasa atahitaji kufanya usajili kuimarisha kikosi hicho na kukirudisha katika level zake.
Hawa ni wachezaji 10 ambao Mourinho anawataka Manchester United;
…Read More
KINACHOCHELEWESHA DILI LA IBRAHIMOVIC MAN U HIKI HAPA
Klabu ya Man United itasubiri kumsajili Zlatan Ibrahimovic hadi Juni 30, mwaka huu.
Manchester United itamruhusu Zlatan Ibrahimovic kusubiri hadi mkataba wake ambao umebakiza mwezi mmoja katika klabu yake ya PSG umalizike…Read More
MTIBWA HAITAMBUI USAJILI WA ANDREW VICENT YANGA
Klabu ya Yanga hivi karibuni ilitangaza kumnasa mchezaji wa Mtibwa Sugar Andrew Vicent "Dante" lakini Msemaji wa Klabu ya Mtibwa, Thobias Kifaru amesema hana taarifa hizo.
Klabu ya Mtibwa Sugar imesema haijapata taarifa j…Read More
TAYARI MOURINHO AMEMNASA ERIC BAILLY WA VILLARREAL
Eric Bailly anakuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na Jose Mourinho katika klabu ya Manchester United.
Eric Bailly amekamilisha vipimo vya afya mapema leo na tayari beki huyo ameshasaini mkataba wa miaka 4 na klabu ya Man …Read More
0 comments:
Post a Comment