Medeama huenda ikajitoa katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika CAF CC, kutokana na hali ngumu ya kifedha.
Medeama imepangwa kucheza na TP-Mazembe katika mchezo wa kwanza wa hatua hiyo Juni 19,2016.
CAF bado hawajavipa fedha vilabu vilivyofuzu hatua hii ya makundi hali inachangia ukata zaidi kwa Medeama huku pia juhudi za kutafuta pesa kwa ajili ya safari kuelekea Congo kucheza dhidi ya TP Mazembe zikiwa hazijazaa matunda, Klabu ipo katika ukata mkubwa na inahitaji msaada wa kifedha haraka, Vinginevyo Medeama watajitoa katika mashindano endapo hawatapatiwa msaada wa kifedha.
Imetolewa na;
Benjamin Kessie
Administrative Manager/Communication team member.(Medeama)
Bonyeza hapa ku-Like Page ya Soka24 Facebook
Wednesday, June 15, 2016
MEDEAMA SC KUJITOA KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA (CAF CC)
Related Posts:
YANGA YAANZA VIBAYA HATUA YA MAKUNDI CAF CCMchezo wa kombe la shirikisho Afrika CAF hatua ya makundi kati ya MO Bejaia na Yanga umamalizika kwa Yanga kukubali kichapo cha goli 1 kwa bila, goli lililofungwa na Yassine Salhi dakika ya 20' ya Mchezo. Kwa matokeo hayo Ya… Read More
CAF YAIBEBA YANGA KUELEKEA MECHI NA MAZEMBEShirikisho la Mpira wa miguu barani Afrika CAF, limewaidhinisha wachezaji watatu wa Yanga ambao walikuwa wanatumikia adhabu ya kadi kucheza, kucheza katika mchezo wao na TP Mazembe. Wachezaji wa Yanga, Oscar Joshua, Nadir … Read More
HII NDO HALI ILIYOPO UWANJA WA TAIFA WATU WAMEFURIKA Kuelekea Mchezo kati ya Yanga na TP Mazembe Leo Jioni Hivi Ndivyo Mashabiki Walivyofurika Uwanja Wa Taifa Mapema Leo Kusubiri Mchezo Huo. KILA LA KHERI YOUNG AFRICA Like Ukurasa Wa Soka24 Facebook Hapa … Read More
CAF YAIFUTA ES SETIF KLABU BINGWA AFRIKAMabingwa mara mbili wa kombe la klabu bingwa Afrika, ES Setif wametolewa katika michuano hiyo kufuatia vurugu zilizofanywa na mashabiki wao. Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limeiondoa klabu ya ES Setif kweny… Read More
YANGA KULIPA ZAIDI YA MILION 500 CAFKlabu ya Yanga imetakiwa kulipa fidia ya Tsh. milioni 530 kama fidia ya gharama za mchezo wao dhidi ya TP Mazembe baada ya kuruhusu mashabiki kuingia bure uwanjani. CAF na TFF imefikia hatua hiyo baada ya Yanga kufuta kiin… Read More
0 comments:
Post a Comment