YANGA KULIPA ZAIDI YA MILION 500 CAFKlabu ya Yanga imetakiwa kulipa fidia ya Tsh. milioni 530 kama fidia ya gharama za mchezo wao dhidi ya TP Mazembe baada ya kuruhusu mashabiki kuingia bure uwanjani.
CAF na TFF imefikia hatua hiyo baada ya Yanga kufuta kiin…Read More
VIDEO: TAZAMA HALI ILIVYO UWANJA WA TAIFA ASUBUHI HII
YANGA VS TP MAZEMBE
Mashabiki wakiwa wamefurika nje ya uwanja wa taifa wakisubiri mechi kati ya Yanga dhidi ya TP Mazembe leo jioni
Hawa tayari wameshaingia Ndani ya Uwanja
Like Ukurasa Wa Soka24 Face…Read More
SERENGETI BOYS KUWEKA KAMBI MADAGASCARTimu ya soka ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 "Serengeti Boys" imeahidiwa kuweka kambi nchini Madagascar iwapo itaitoa Shelisheli katika mchezo wa marudiano.
Rais wa shirikosho la Soka Tanzania (TFF), Jamali Malinz &…Read More
0 comments:
Post a Comment