Christiano Ronaldo amefikisha jumla ya magoli 30 katika ligi ya La Liga msimu wa 2015/2016 Real Madrid ikiichapa Eibar 4-0 jana.
magoli ya Real Madrid yalifungwa na Rodriguez 5', Lucas Vazquez 18', Ronaldo 19', Jese 39'.
Ronaldo anafikisha Magoli 30 akiwaacha Suarez mwenye magoli 26, Lionel Messi 22 na Neymar akiwa na Magoli 21.
0 comments:
Post a Comment