Sunday, February 26, 2017

Atletico Madrid vs Barcelona kumbukumbu muhimu kabla ya mchezo wao wa leo

MUDA:         18:15
UWANJA:      Estadio Vicente Calderon
REFARII:      Antonio Mateu (Spain)


Kuelekea kwenye mchezo mkubwa wa mwisho wa wiki tunakuletea tathimini fupi kati ya Atletico Madrid na Barcelona.
Michezo mitano iliyopita Matokeo kwa timu zote mbili ni kama ifuatavyo
Atletico Madrid
Barcelona.

W, D W, W, W,

W, D, W, L, W
    
Atletico Madrid
Barcelona.
7 FEBRUARY, COPA DEL REY
 Barcelona 1 : 1 Atletico
12 FEBRUARY, LA LIGA
Atletico 3 : 2 Celta
18 FEBRUARY, LA LIGA
Sporting 1 : 4 Atletico
21 FEBRUARY, CHAMPIONS LEAGU
Leverkusen 2 : 4 Atletico



7 FEBRUARY, COPA DEL REY
Barcelona 1 : 1 Atletico
11 FEBRUARY, LA LIGA
Alaves 0 : 6 Barcelona
14 FEBRUARY, CHAMPIONS LEAGUE
PSG 4 : 0 Barcelona
19 FEBRUARY, LA LIGA
Barcelona 2 : 1 Leganes


MICHEZO MITANO WAO KWA WAO(HEAD- HEAD)

Atletico Madrid ameshinda mara 1 Barcelona ameshinda mara 2, sare 2 kama zinavyoonekana:
Atletico Madrid
Barcelona.
13.04.2016 CHAMPIONS LEAGUE
ATLETICO 2 : 0 BARCELONA

07.02.2017 COPA DEL REY

BARCELONA 1 : 1 ATLETICO
21.09.2016 LA LIGA
BARCELONA 1 : 1 ATLETICO

01.02.2017 COPA DEL REY
ATLETICO 1 : 2 BARCELONA
05.04.2016 CHAMPIONSLEAGUE
BARCELONA 2 : 1 ATLETICO


Katika laliga Barcelona ameshinda michezo mingi,ameshinda mara 15 dhidi ya 13 za Atletico Madrid,

Pia Barcelona amepoteza michezo michache , amepoteza michezo 2 dhidi ya 4 ya Atletico Madrid.

Timu hizo mbili zimetoka sare michezo 6.

Atletico Madrid ameonekana kushinda mara nyingi zaidi akiwa nyumbani, ameshinda kwa asilimia 34 dhidi ya 33% za Barcelona na 33% wametoka suluhu.

Atletico Madrid wapo katika nafasi ya nne(4) baada ya kucheza michezo 23 na kukusanya jumla ya pointi 45 wakati huo Barcelona wao wamecheza michezo 23 na kujikusanyia jumla ya pointi 51 wakiwa katika nafasi ya 3 nyuma ya Sevilla na vinara Real Madrid.
Wachezaji wa kuchungwa sana siku ya leo kwa upande wa Atletico ni Y. Ferreira Carrasco, A. Griezmann, K. Gameiro, F. Torres.

Kwa upande wa Barcelona ni L. Messi, L. Suárez,  Neymar




RATIBA NZIMA YA LALIGA LEO HIYO HAPO CHINI: 

Espanyol vs Osasuna               14:00

Atletico Madrid vs Barcelona    18:15

Sporting Gijon vs Celta Vigo    20:30

Athletic Bilbao vs Granada       20:30

Villarreal vs Real Madrid           22:45

0 comments:

Post a Comment