Samatta kazini leo Ubeligiji
KRC Genk leo inashuka katika dimba lake la nyumbani la
Luminus Arena kumenyana na timu inayoburuza mkia katika Belgium - Pro League timu
iitwayo Royal Excel Mouscron. Mchezo utakaopigwa saa 22:00 majira ya Afrka
Masharik…Read More
Samatta atupia mbili Genk ikiua 2 - 1
Jana usiku Mtanzania Mbwana
Samatta aliiwezesha timu
yake ya KRC GENK kuibuka na ushindi
kwa kupachika goli mbili katika dimba lao la nyumbani la Luminus Arena katika mchezo wa Ligi Kuu Ubelgiji …Read More
0 comments:
Post a Comment