Sunday, February 19, 2017

Msimamo wa Laliga Baada ya mechi za jana jumamosi february 18


Matokeo ya jana raundi ya 23 na msimamo wa ligi kuu ya Hispania ni kama ifuatavyo:

Sporting Gijon 1 - 4 Atletico Madrid




Real Madrid 2 - 0 Espanyol

Deportivo La Coruna 0 - 1 Alaves


Sevilla 2 - 0 Eibar


NB:
#1, 2, 3 (Uefa champions league)
#4 (Uefa champions league qualification)
#5 (Europa league)
#6 (Europa league qualification)
#18, 19, 20 (Relegation)

Michezo ya leo jumapili  ligi kuu ya Hispania

Real Sociedad VS Villarreal      14:00

Valencia VS Athletic Bilbao     18:15

Celta Vigo VS Osasuna            20:30


Barcelona VS Leganes             22:45

0 comments:

Post a Comment