Wednesday, June 1, 2016

TWIGA STARS KUVAANA NA RWANDA

Timu ya soka Taifa ya Wanawake ya Tanzania – Twiga Stars, inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Rwanda, utakaofanyika Uwanja wa Amahoro jijini Kigali, Rwanda.




Rwanda wameomba mchezo ufanyike ili kukiimarisha kikosi chao sambamba na kuboresha uhusiano wa nchi ambazo zote ni nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Related Posts:

  • WAKENYA WAVUTIWA NA REKODI ILIYOWEKWA NA SERENGETI BOYS Timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17 (Serengeti Boys) iliyorejea nchini kutoka ziara ya India ambako walishiriki mashindano ya vijana ya Kimataifa yanayotambuliwa na FIFA (AIFF International Youth Tournament 2016), imer… Read More
  • SIMBA YAEPUKA KUSHUSHWA DARAJA Klabu ya Simba imetekeleza agizo la FIFA la kumlipa pesa zake zote Donald Mosoti na kuepukana na adhabu ya kushushwa daraja ambayo FIFA walitishia kuitoa. Uongozi wa Simba umekamilisha malipo ya fedha taslimu kiasi cha S… Read More
  • KRC GENK WAMZUIA SAMATTA KUJIUNGA NA TAIFA STARS Klabu ya Genk anayocheza Mfungaji bora wa Afrika mwaka 2015, Mtanzania Mbwana Ally Samatta imemuombea mchezaji huyo kutoungana na timu yake ya taifa katika mechi ya kirafiki na Kenya. Mbwana Samatta ataikosa mechi kati y… Read More
  • MANENO YA HANS POPE KWA DONALD NGOMA Hans Pope bosi anayeshughulikia maswala ya Usajili kunako klabu ya Simba ameweka bayana kuvutiwa kwake na Mshambuliaji wa Yanga Donald Ngoma. Hans Pope amesema licha ya Amiss Tambwe kuibuka Mfungaji bora katika msimu wa … Read More
  • NGASA ANARUDI YANGA Mrisho Halfan Ngassa Mtanzania anayecheza katika klabu ya Free State ya Nchini Afrika Kusini amesema yupo tayari kurudi kucheza Yanga. Winga huyo wa Kimataifa raia wa Tanzania anacheza katika klabu ya Free State inayos… Read More

0 comments:

Post a Comment