Thursday, June 1, 2017

Atletico Madrid Yaangukia Pua Tena Usajili

Klabu ya Atletico Madrid imeshindwa katika rufani yao waliyokata katika Mahakama ya Kimataifa ya Michezo-CAS kupinga adhabu ya kuzuiwa kusajili na Shirikisho la Soka Duniani-FIFA.


Hatua hiyo sasa inamaanisha kuwa klabu hiyo haitaruhusiwa kusajili mpaka itakapofika usajili wa dirisha doko Januari mwaka 2018.

Atletico walifungiwa kusajili kwa vipindi viwili vya usajili kwa kosa la kukiuka sheria ya usajili wachezaji wa kigeni wenye umri wa chini ya miaka 18.

Baada ya kushindwa rufani yao FIFA, Atletico walitumikia adhabu ya kutosajili katika dirisha la Januari mwaka huu kabla ya kuamua kukata rufani CAS. Kutokana na matokeo ya rufani yao Atletico sasa watakuwa. wameshindwa kufanya usajili wowote kwa mwaka huu.

Related Posts:

  • BRENDAN RODGERS KOCHA MPYA CELTIC Rodgers aliyetimuliwa na Liverpool mwezi October 2015 amechukua nafasi ya kocha Ronny Deila aliyeachia ngazi katika klabu ya Celtic ya nchini Scotland. Kocha huyo wa Zamani wa Liverpool na Swansea amesaini mkataba wa mie… Read More
  • HAYA NDO ALIYOAHIDIWA KOCHA PLUIJM YANGA Mkataba wa kocha mkuu wa Yanga Hans Pluijm ukiwa umebakiza siku chache kumalizika Yanga yafunguka juu ya kuendelea kubaki na kocha huyo. Klabu ya Yanga imeanza mazungumzo rasmi na kocha mkuu wa klabu hiyo Hans Van Pluijm… Read More
  • SPURS NA ARSENAL KUWANIA SAINI YA MIDFIELD RAIA WA KENYA Tottenham Na Arsenal Wanasaka Saini Ya Midfieda Wa Southampton Victor Wanyama Wanyama alikuwa karibu kujiunga na Tottenham msimu uliopita lakini dili hilo lilifeli. Inasemekana Spurs bado wanania ya kumsajili Wanyama w… Read More
  • HABARI KUBWA ZA USAJILI BARANI ULAYA LEO MEI 19 Arsenal Imetenga Euro Milioni 65 Kumnasa Morata Klabu ya Arsenal imetenga kitita Cha Euro Milioni 65 kuhakikisha wanapata saini ya Morata anayetumikia klabu ya Juve kwa sasa. Sessegnon & Anichebe Kuondoka West Bro… Read More
  • WENGER KUMWONGEZA MKATABA JACK WILSHERE Meneja Wa Arsenal Arsene Wenger Amepanga Kumwongezea Mkataba Mrefu Zaidi Wilshere. Arsene Wenger  ana mpango wa muda mrefu na Jack Wilshere hivyo kupanga kumwongezea mkataba utakaomuweka klabuni hapo kwa muda mrefu … Read More

0 comments:

Post a Comment