Kuelekea fainali ya ligi ya mabingwa ulaya kati ya Real Madrid na Juventus blog hii imeamua kukuletea historia ya timu hizi mbili kwa lengo la kuongeza ufahamu wetu juu ya timu hizi,
Timu hizi zimekutana mara 16 katika michuano ya ligi ya mabingwa na katika mara hizo Real Madrid imeshinda mara 9 wakati juve imeshinda mara 6 na sare ni 1.
Yafuatayo na matokeo ya katika michezo hiyo 16
0 comments:
Post a Comment