Saturday, May 6, 2017

MSOLOPA Kulipiga Mnada Jengo La Yanga


KAMPUNI ya udalali ya MSOLOPA imepewa jukumu la kusimamia mchakato wa kuuzwa kwa jengo la Yanga SC endapo klabu hiyo itashindwa kulipa deni la kodi milioni 300, deni hilo limetokana na malimbikizo ya ada ya jengo la kiwanja kinachomilikiwa na klabu hiyo.

"Ni kweli kesi iko katika Mahakama ya Ardhi na tumeshaanza kuifanyia kazi, lakini tunaamini tutalilipa kabla ya mchakato huo wa kunadi jengo haujafanyika" alisema Mkwasa.

Related Posts:

  • TFF YATANGAZA TAREHE YA MWISHO KUCHUKUA NA KUREJESHA FOMU ZA KUGOMBEA UONGOZI YANGA Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), iliyopewa jukumu la kusimamia uchaguzi wa Klabu ya Young Africans imeridhishwa na mwenendo wa wanachama kwa namna wanavyochukua na kurejesha fomu. Katika kikao cha… Read More
  • TWIGA STARS KUVAANA NA RWANDA Timu ya soka Taifa ya Wanawake ya Tanzania – Twiga Stars, inatarajiwa kucheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya Rwanda, utakaofanyika Uwanja wa Amahoro jijini Kigali, Rwanda. Rwanda wameomba mchezo ufanyike ili ku… Read More
  • KIPRE TCHETCHE AOMBA KUONDOKA AZAM FC Kipre Tchetche mchezaji wa Azam FC raia wa Ivory Coast amesema inatosha sasa kucheza Tanzania hivyo anataka kwenda kujaribu sehemu nyingine. Kipre ambaye ana mwaka mmoja umebaki katika mkataba wake ametosheka na muda ali… Read More
  • HAWA NDO WATAKAOAMUA MECHI KATI YA STARS NA MISRI Waamuzi wanne kutoka Gabon, ndio watakochezesha mchezo wa kimataifa kati ya Taifa Stars ya Tanzania na Mapharao wa Misri utakaofanyika Jumamosi Juni 4, 2016 Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Mchezo huo utakaoanza saa 10.00… Read More
  • AL AHLY WAMNYATIA DONALD NGOMA Mshambuliaji wa kimataifa wa Zimbabwe Donald Ngoma ameanza kuwindwana vigogo wa soka la Misri na Afria timu ya Al Ahly. Ngoma amekuwa mshambuliaji tishio sana katika klabu ya Yanga na ametoa mchango mkubwa sana katika ma… Read More

0 comments:

Post a Comment