Sunday, March 19, 2017

Madini FC 0 - 1 Simba, Simba yakata tiketi ya Nusu fainali kombe la shirikisho Azam confederation Cup



Timu ya Simba kutoka jiji Dar es salaam imekata tiketi ya kuingia hatua ya nusu fainali baada ya leo kuichapa timu ya Madini FC ya mjini Arusha kwa goli 1 kwa 0.


Goli pekee la Simba limefungwa na mchezaji toka taifa la Burundi Mavugo dakika ya 55 ya mchezo huo.

Related Posts:

  • SIMBA WAREJEA DAR TAYARI KWA KUIVAA AZAM FC TIMU ya Simba Sports Club imewasili jijini Dar wakitokea visiwani Zanzibar ambako walikwenda kujiandaa na mchezo wao dhidi ya Azam FC. Simba inayoshika nafasi ya pili katika msimamo wa ligi inahitaji ushindi katika mchez… Read More
  • YANGA YAENDELEA KUJIWEKA FITI KLABU ya Dar Young Africans imeendelea na mazoezi huko mwanza katika viwanja vya DIT wakijiandaa na mchezo wao dhidi ya Toto Africans ambao utachezwa siku ya Jumamosi April 30, Yanga ambayo inashika nafasi ya kwanza kw… Read More
  • Dennis Kitambi Aeleza Siri Ya Ushindi Wao Dhidi Ya Majimaji KOCHA Msaidizi wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Dennis Kitambi, amesema kuwa maelekezo waliyowapa wachezaji wao ya kuongeza hali ya kupambana mchezoni kabla ya kuanza kipindi cha pili ndio yamepelekea… Read More
  • KIKOSI CHA YANGA LEO DHIDI YA TOTO AFRICANS KIKOSI CHA YANGA LEO. 1. Deogratius Munishi Dida. 2. Juma Abdul Japhary. 3. Oscar Fanuel Joshua. 4. Kelvin Patrick Yondani. 5. Vicent Bossou. 6. Salum Abo Telela. 7. Saimon Happygod Msuva. 8. Haruna Fadhil Niyo… Read More
  • TCHETCHE YUKO FITI KUIVAA SIMBA MSHAMBULIAJI hatari wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Kipre Tchetche, yupo fiti asilimia 100 kuivaa Simba  kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaofanyika Uwanja wa Taifa, D… Read More

0 comments:

Post a Comment