timu ya manchester united kwa mara nyingine leo imetoa suluhu katika dimba la old trafford dhidi ya stock city mchezo ulioanza saa 1400 kwa saa za afrika mashariki. alikua ni Antony Mrtial alieingia kuchua nafasi ya Wyne rooney dk 67 na dk 69 aliipatia uongozi united kwa bao saafi, wakizani wamemaliza mchezo huo dk 82 Joe Allen aliwaamsha vitini washabiki wa stock na kuufanya mchezo kuisha kwa sare ya moja moja.
Sunday, October 2, 2016
MOURINHO HALI SI HALI UNITED
Related Posts:
NYOTA WA ZAMANI WA MAN UNITED AITABIRA UBINGWA CHELSEA Paul Scholes anasema Chelsea wana nafasi ya kuibuka mabingwa wa ligi kuu Nchini Uingereza. Chelsea inaongoza ligi hiyo kufuatia ushindi mnono katika mechi zake tatu ambazo imekwishacheza hadi hivi sasa chini ya kocha Mpya… Read More
Arsenal Yakamilisha Usajili Wa Shkodran Mustafi Klabu ya Arsenal imetangaza rasmi kumsajili beki wa kati wa Valencia Shkodran Mustafi kwa ada ya uhamisho ambayo haijawekwa wazi. Licha ya thamani ya uhamisho wa mchezaji huyo kutowekwa wazi lakini habari za chini chini z… Read More
Rasmi: Wilfred Bony Atua Stoke City Klabu ya Stoke City imekamilisha uhamisho wa Wilfred Bony kwa mkopo akitokea klabu ya Manchester City. Bony aliyefeli kumshawishi kocha mpya wa City, Mhispania Pep Guardiola amefanikiwa kufunga magoli 11 katika michezo 4… Read More
Rasmi: Torino Yamnasa Joe Hart Mlinda Mlango namba moja wa Uingereza Joe Hart amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Klabu ya Torino inayoshiriki ligi kuu nchini Italia kwa mkopo akitokea Manchester City. Hart alijikuta akiwa chaguo la pili la kocha Pep … Read More
WEST BROM YAVUNJA REKODI YA KLABU USAJILI WA CHADLI Klabu ya West Bromwich Albion imevunja rekodi ya klabu hiyo kwa kumsajili Winga wa Tottenham Spurs kwa kitita cha Pauni milioni 13. Chadli alijiunga na Spurs akitokea FC Twente kwa uhamisho wa pauni milioni 7 Julai 2013… Read More
0 comments:
Post a Comment