Wednesday, October 5, 2016

MCHEZO WA STARS NA ETHIOPIA WAYEYUKA


Lile pambano lililokuwa linasubiriwa kwa hamu na wapenzi wengi wa soka nchini limeota mbawa baada ya shirikisho la soka la Ethiopia kuiandikia TFF kuwa mchezo huo hautakuwepo kutokana na sababu za kiusalama nchini Ethiopia.
  Mchezo huo ambao ulikuwaupigwe 8 mwezi huu ulikuwa katika kalenda za FIFA ilikua ni kipimo tosha kwa kocha Mkwasa kuisogeza timu katika nafasi za juu ikumbukwe kuwa Tanzania inashika nafasi ya 132duniani wakati Ethiopia inashika nafasi ya 126 dunia, timu zinazoongoza kwa sasa ni Argentina, Ubeligij,Colombia na Ujerumani.
  kwa mantiki hiyo kocha wa Stars atalazimika kuvunja kambi ya timu hiyo muda wowote toka sasa.

Related Posts:

  • NAMUNGO FC YAPIGWA FAINI, YAPANDA DARAJA Kamati ya Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imeipiga faini ya Sh. 500,000, Klabu ya Namungo FC ya Lindi kwa kila mechi ambayo mchezaji Imani Vamwanga aliichezea timu hiyo akitumia jina la Emmanuel T.… Read More
  • YANGA WAMWONGEZEA MKATABA PLUIJM Mabingwa wa ligi kuu Vodacom na wawakilishi pekee Afrika Mashariki katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika (CAF CC), Yanga wamemwongezea mkatabawa miaka miwili kocha wao Hans Van Pluijm. Kocha huyo ambaye ame… Read More
  • MWASHIUYA KUIKOSA MEDEAMA SC GHANA Kiungo klabu ya Yanga, Geofry Mwashiuya ataukosa mchezo wa marudiano kati ya Yanga na Medeama SC utakaopigwa nchini Ghana kutokana kuuguza majeraha ya goti. Mwashiuya amewekewa bandeji laini ambayo inamsaidia kupona hara… Read More
  • HII NDO SABABU YA YANGA KUTOKUUZA WACHEZAJI ULAYA Kocha mkuu wa Yanga, Hans van Pluijm amesema wachezaji wengi wa Tanzania hawako tayari kucheza mpira wa kulipwa ulaya. Kwa muda mrefu imeonekana kuwa Yanga inawabania sana wachezaji wake hasa pale wanapopata nafasi ya kut… Read More
  • BAADA YA KUTUPIWA VIRAGO HAMISI KIIZA AICHANA VIBAYA SIMBA Hamisi Kiiza ambaye aliingia katika mgogoro na uongozi wa timu yake ya zamani ya Simba SC ameamua kufunguka na kusema kwamba timu hiyo hata isajili nyota wote kamwe haitafanikiwa. Kiiza aliyeshika nafasi ya pili kwa upach… Read More

0 comments:

Post a Comment