Thursday, July 21, 2016

MWASHIUYA KUIKOSA MEDEAMA SC GHANA

Kiungo klabu ya Yanga, Geofry Mwashiuya ataukosa mchezo wa marudiano kati ya Yanga na Medeama SC utakaopigwa nchini Ghana kutokana kuuguza majeraha ya goti.


Mwashiuya amewekewa bandeji laini ambayo inamsaidia kupona haraka.
Ungana Na Soka24 Facebook, Bonyeza  HAPA  Kwa Habari Za Haraka Za Soka Kote Ulimwenguni.

0 comments:

Post a Comment