Mshambuliaji hatari zaidi katika msimu wa 2015/2016 katika ligi kuu nchini Uingereza Jamie Vardy ametangazwa kuwa mchezaji bora wa mwaka na Chama cha waandishi wa habari za michezo (Football Writers' Association FWA). Vardy amewapiku wachezaji wenzie Riyad Mahrez na Kante katika tuzo hizo.
Wachezaji wengine ambao walikuwa wanagombea tuzo hiyo ni Harry Kane wa Tottenham, Dimitri Payet wa West Ham, Sergio Agüero na Kevin De Bruyne wa Manchester Dele Alli wa Tottenham.
Pata habari za michezo kwa haraka zaidi kupitia soka24.blogspot.com
0 comments:
Post a Comment