Luis Suarez ni miongoni mwa walioumia sana baada ya timu yake ya taifa ya Uruguay kutolewa na Venezuela katika mashindano ya Copa America Contenario 2016.
Tazama Video Hii Hapa Chini Uone Jinsi Suarez Alivyoonesha Kuchukizwa Na Hatua Hiyo
SIMON MIGNOLET APATA MPINZANI MPYA LIVERPOOL
Klabu ya Liverpool imefikia makubaliano na mlinda mlango wa Klabu ya Mainz Loris Krius na tayari mlinda mlango huyo ameshafuzu vipimo vyake.
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp anakijenga upya kikosi chake baada ya kufiki…Read More
CAF YAITUPA AS VITA NJE YA MASHINDANO YA KLABU BINGWA AFRIKA
Klabu ya AS Vita ya nchini Congo imeondolewa katika michuano ya Klabu bingwa Afrika baada ya kumchezesha Idrissa Traore ambaye hakustahili kucheza na nafasi yao sasa itachukuliwa na timu ya Mamelodi Sundowns ya nchini Afrika…Read More
UEFA YAZIPIGA FAINI KLABU ZA LIVERPOOL NA MAN UTD
klabu ya Liverpool na Manchester United zimepigwa faini na UEFA kutokana na vurugu za mashabiki wao walizozifanya katika mchezo wa Europa league hatua ya 16 bora.
Klabu Zote zimekumbana na faini hiyo baada ya mash…Read More
KIMESHAELEWEKA HUKO CAIRO HAWA NDO WAPINZANI WA YANGA SASA
CAF CONFEDERATION CUP - GROUP PHASE
Group A
TP Mazembe (DRC)
Mo Bejaia (Algeria)
Young Africans (Tanzania)
Madeama (Ghana)
Group B
Etoile du Sahel (Tunisia)
FUS Rabat (Morroco)
Kawkab Athletic (Morroco)
Ahli…Read More
0 comments:
Post a Comment