Leicester yakubali yaishe kwa Man U, yatota 3 - 0
King
Power Stadium
Ikicheza kwa
kujiamini muda wote Manchester United imeitandika Leicester-city bila huruma
goli 3 – 0 katika dimba la King Power huko Leicester.
Ilibidi united
wasubiri mpka dakika 41 ndio waanze ku…Read More
Samatta kazini leo Ubeligiji
KRC Genk leo inashuka katika dimba lake la nyumbani la
Luminus Arena kumenyana na timu inayoburuza mkia katika Belgium - Pro League timu
iitwayo Royal Excel Mouscron. Mchezo utakaopigwa saa 22:00 majira ya Afrka
Masharik…Read More
Mkongwe Chelsea Amchana John Terry
Marcel Desailly beki wa zamani wa Chelsea amemwambia John Terry kwamba muda wake umekwisha Chelsea.
Desailly anaaamini kuwa muda wa Terry kuondoka Chelsea umewadia na ni kutokana na kukosa nafasi kwenye kikosi cha kwanza …Read More
chelsea vs Arsenal, Stamford Bridge
Ikiwa imetoka
kusuluhu na Liverpool, Chelsea itataka kujihakikishia nafasi ya kutwaa
kombe pale tu itakapoweza kupata Matokeo chanya mbele ya Arsenal
Arsenal inaingia uwanjani Stamford Bridge kwa lengo moja …Read More
0 comments:
Post a Comment