Timu ya taifa ya Chile imefanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 2 - 0 dhidi ya Colombia katika mchezo wa nusu fainali Copa America 2016 na kufanikiwa kutinga fainali ya michuano hiyo na sasa watakutana na Argentina kwa mara ya pili katika fainali hizo.
Thursday, June 23, 2016
FAINALI COPA AMERICA 2016 NI CHILE VS ARGENTINA
Timu ya taifa ya Chile imefanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 2 - 0 dhidi ya Colombia katika mchezo wa nusu fainali Copa America 2016 na kufanikiwa kutinga fainali ya michuano hiyo na sasa watakutana na Argentina kwa mara ya pili katika fainali hizo.
0 comments:
Post a Comment