Thursday, June 2, 2016

MANJI AWAFUTA UANACHAMA WALIOFANYA NJAMA ZA KUHUJUMU UCHAGUZI YANGA

Mwenyekiti wa Yanga Yusuph Manji amemvua uanachama Mzee Msumi baada ya kudaiwa kufanya njama na viongozi TFF kuhujumu uchaguzi yanga na kupanga safu yao ya uongozi,

Wanachama Wa Yanga Wakiwa Makao Makuu Ya Timu Hiyo Walipomsindikiza Manji Kuchukua Fomu Ya Kugombea Nafasi Ya Uenyekiti

Mwenyekiti huyo pia amewasimamisha Uanachama wanachama wote ambao wamechukua fomu za kuogombea nafasi za uongozi Yanga kupitia TFF.



0 comments:

Post a Comment