Thursday, May 26, 2016
Home »
Kitaifa
» KAMATI YA UCHAGUZI TFF YATANGAZA MCHAKATO WA KUANZA KUCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA UONGOZI YANGA
KAMATI YA UCHAGUZI TFF YATANGAZA MCHAKATO WA KUANZA KUCHUKUA FOMU ZA KUGOMBEA UONGOZI YANGA
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi, Aloyce Komba fomu zinapatikana katika ofisi za TFF zilizoko Uwanja wa Kumbukumbu ya Karume, Ilala jijini Dar es Salaam. Vilevile utaratibu unafanyika ili fomu ziweze kupatikana katika tovuti ya shirikisho www.tff.or.tz
Related Posts:
Angalia Hapa Jinsi Hans Pope Alivyonusurika Kipigo Kutoka Kwa Mashabiki Wa Simba Angalia video hii hapa chini … Read More
LIVE KUTOKA TAIFA - FUATILIA LIVE MCHEZO KATI YA SIMBA NA TOTO AFRICANS HALF TIME MATOKEO: SIMBA 0 - 1 TOTO AFRICANS Mfungaji: Wazir Junior ======== KIPINDI CHAPILI KIMEANZA Dakika ya 47: beki wa Simba, Hassan Kessy anapewa kadi nyekundu kwa kumchezea faulo, Edward Chris… Read More
Hapatoshi Leo Tena Taifa Patashika za ligi kuu ya kandanda tanzania bara zinaendelea tena leo kwa mchezo mmoja tu kupigwa katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam ukiwakutanisha wenyeji Simba SC dhidi ya Toto Africans ‘wana kishamapanda’kutok… Read More
Migi: Azam FC Ina Nafasi CAF KIUNGO wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Jean Mugiraneza ‘Migi’, amesema kuwa licha ya timu hiyo kukabiliwa na mchezo mgumu wa ugenini dhidi ya Esperance, bado ina nafasi ya kusonga mbele kwa kuwatoa w… Read More
Mnyama Achinjwa Taifa Timu ya soka ya Simba imezidi kupoteza matumaini ya kunyakua ubingwa wa ligi kuu soka Tanzania bara baada ya kukubali kichapo cha Goli 1 - 0 toka kwa Toto Africans ya Mwanza.Katika mchezo huo ambao wadau wengi wa soka waliip… Read More
0 comments:
Post a Comment