Sunday, May 15, 2016

JUVENTUS YAISHUSHIA KIPIGO KIKALI SAMPDORIA


Mabingwa wa ligi kuu nchini Italia Juventus, jana wametoa kipigo kikali kwa timu ya Sampdoria kwa kuichapa magoli 5 – 0, Juventus tayari walishakuwa mabingwa hata kabla ya mchezo wao dhidi ya Sampdoria na sasa wamefikisha jumla ya pointi 91 katika nafasi ya kwanza huku wakifuatiwa na Napoli katika nafasi ya pili waliojikusanyia pointi 82 kwenye michezo 38 waliyocheza.
Magoli ya Juve yalipachikwa nyavuni na Patrick Evra aliyefunga dakika ya 5, Paul Dybala akifunga magoli mawili dakika ya 15  na 37, magoli mengine yalifungwa na Chiellini dakika ya 77 na Bonucci akafunga karamu hiyo ya magoli alipofunga goli la 5 dakika ya 85.

Related Posts:

  • YANGA WALIVYOIACHA ARDHI YA TANZANIA (PICHA)  KIKOSI CHA YANGA KIMESAFIRI KUELEKEA NCHINI ANGOLA AMBAKO WATACHEZA NA TIMU YA GD SAGRADA ESPERANCA KATIKA MCHEZO WA PILI WA KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA HATUA YA MTOANO … Read More
  • SHEREHE ZA UBINGWA YANGA KUFANYIKA NANGWANDA SIJAONA Mabingwa wa ligi kuu Tanzania bara timu ya Yanga SC, wanatarajiwa kupewa kombe lao la ligi kuu msimu huu katika mchezo wao dhidi ya Ndanda FC utakaofanyika katika uwanja wa Nangwanda Sijaona mjini Mtwara, sherehe hizo za… Read More
  • MICHEL PLATINI AJIUDHULU NAFASI YA URAIS UEFA Michel Platini jumatatu hii amejiudhulu nafasi yake ya urais katika shirikisho la mpira wa miguu barani ulaya maarufu kama UEFA, Platini amefikia hatua hiyo baada ya rufaa yake kushindikana kabisa na badala yake kupunguz… Read More
  • MAURICIO POCHETTINO AONGEZA MKATABA SPURS Kocha wa klabu ya Tottenham Spurs Mauricio Pochettino amesaini mkataba mpya na klabu hiyo utakaomuweka klabuni hapo hadi mwaka 2021. Pochettino alishatangaza wiki 2 nyuma kuwa alishafanya mazungumzo ya awali na klabu hiy… Read More
  • HIZI NDO MBWEMBWE ZA KOCHA MPYA AZAM FC Zeben Hernandez Kocha Mpya Azam FC KOCHA Mkuu mtarajiwa wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Zeben Hernandez, ameweka wazi kuwa malengo yake makubwa ni kuifanya timu hiyo kuwa timu kubwa barani Afrika ms… Read More

0 comments:

Post a Comment