Sunday, May 7, 2017

Safari ya Simba kuishtaki TFF FIFA imeiva ni baada ya jana kupewa barua yao rasmi ya kupokwa pointi 3 na bodi ys ligi.


Bodi ya ligi nchini ‘TANZANIA PREMIER LEAGUE BOARDS(TPLB)’ jana imeshindilia kaa la moto katika maamuzi yake ya kipoka timu ya Kagera Sugar pointi 3 na magoli 3 kwa kosa la kumchezesha mchezaji Mohamed Fakhi kwa kusema Fakhi wakati anaichezea Kagera Sugar hakuwa na kadi tatu za njano.
Vionjo vilivyo kwenye Barua hiyo ni kama ifuatavyo ”TFF ndio yenye dhamana ya usimamizi wa mpira nchini na ambayo ndio iliyokasimu madaraka kwa TPLB kuendesha ligi kuu” barua iliiendelea kwa sema “baada ya uchunguzi wao ambao ulihoji watu mbalimbali wamebaini kuwa mchezaji Mohamed Fakhi alielalamikiwa na Simba hakuwa na kadi 3 za njano siku ya mchezo wa Kagera sugar na Simba, kwa mantiki hiyo maamuzi yaliyofanywa na kamati ya kuipoka pointi Kagera hayakuwa sahihi na hivyo Matokeo ya uwanjani ambayo yalikuwa ni ushindi wa 2 – 1 kwa Kagera sugar yabaki kama yalivyo.”
Barua hiyo pia imeiruhusu simba kukata rufaa huku ikifuata taratibu za mchezo wa soka.
Kwa mantiki hiyo simba imepewa rungu la kuingilia FIFA.


Related Posts:

  • HIZI NDO REKODI ZA SIMBA NA AZAM (HEAD-TO-HEAD) Simba leo wataingia uwanjani kuwakabili Azam Fc vijana wa Chamanzi katika mchezo wa ligi kuu Tanzania Bara. Timu hizi zinakutana leo zote zikiwa zinahitaji matokeo ya ushindi ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kupigania… Read More
  • YANGA YAZIDI KUCHANJA MBUGA KAZI IMEBAKI KWA AZAM NA SIMBA LIGI Kuu Tanzania Bara imeendelea tena hivi leo katika viwanja 4, huko Jijini Mwanza wenyeji Toto Africans Wakiikaribisha Yanga. Mchezo huo ulioshuhudiwa na maelfu ya watazamaji ulikuwa na wa kuvutia ukizingatia kwamba t… Read More
  • SIMBA NA AZAM WAPELEKA SHANGWE JANGWANI MECHI ya Ligi kuu Bara kati ya Simba na Azam Fc imemalizika kwa timu hizo kutoka suluhu ya 0 - 0, Mchezo ulikuwa wa taratibu sana kipindi cha kwanza lakini kipindi cha pili hasa baada ya vurugu zilizotokea baada ya … Read More
  • KIKOSI CHA YANGA LEO DHIDI YA TOTO AFRICANS KIKOSI CHA YANGA LEO. 1. Deogratius Munishi Dida. 2. Juma Abdul Japhary. 3. Oscar Fanuel Joshua. 4. Kelvin Patrick Yondani. 5. Vicent Bossou. 6. Salum Abo Telela. 7. Saimon Happygod Msuva. 8. Haruna Fadhil Niyo… Read More
  • HIVI NDO VIKOSI VYA SIMBA NA AZAM FC LEO KIKOSI CHA SIMBA KIKOSI CHA AZAM FC 28 Aishi Manula 6 Erasto Nyoni 2 Gadiel Michael 13 Aggrey Morris 12 David Mwantika 16 Jean Mugiraneza 14 Ramadhan Singano 8 Salum Abubakar 10 Kipre Tchetche 19 John Bocco (C) 22 … Read More

0 comments:

Post a Comment