Thursday, May 11, 2017

Atletico Madrid 2 – 1 Real Madrid Aggr 2 – 4 , Ndoto za Diego Simeone zaishia Estadio Vicente Calderon



Magoli mawili ndani ya dakika 3 yaliamsha shangwe na nderemo katika Uwanja wa Estadio Vicente Calderon na watu kuamini kuwa mvua ya magoli inaelekezwa Real Madrid, lakini ndoto hizo zilififia baada ya Karim Benzema akiwa katika kiwango bora kulazimisha kupita mabeki watatu wa Atletico huku wakizani mpira umetoka na kuujaza ambapo ulimkuta Kros aliepiga shuti kali goli kipa akajitahidi kuokoa lakini Isco alifunga kwa ustadi mkubwa katika dakika ya 42.
Tathimini ya mchezo wa leo ulikuwa na ubabe mwingi na ufundi wa mtu mmoja mmoja.
Mpaka dakika 90 zinamalizika Atletico Madrid 2 – Real Madrid  1 na hivyo Madrid wanatinga fainali kwa faida ya magoli waliyovuna katika mchezo wa awali.
Kikosi cha Atletico Madrid:
Oblak; Gimenez, Godin, Savic, Filipe; Gabi, Saul, Koke, Carrasco; Griezmann, Torres
Akiba:
 Moya, Lucas, Tiago, Correa, Thomas, Gaitan, Gameiro
Kikosi cha Real Madrid:
 Navas; Marcelo, Varane, Ramos, Danilo; Casemiro, Kroos, Modric; Isco, Benzema, Ronaldo
Akiba:

 Casilla, Nacho, Rodriguez, Kovacic, Vazquez, Asensio, Morata

0 comments:

Post a Comment