Saturday, March 18, 2017

RATIBA VPL, LALIGA, LIGI YA MABINGWA AFRIKA, SSHIRIKISHO AFRIKA LEO MARCH 18



England - Premier League March 18
Leicester leo jumamosi march 18 itakuwa ugenini kutafuta pointi tatu muhimuitakapocheza na West Ham United  ili kuendelea kujiepusha kabisa na wimbi la kushuka daraja.
Mabingwa Hao wa Epl na wawakilishi pekee wa England katika ligi ya mabingwa wanaingia uwanjani wakiwa kumbukumbu nzuri ya ushindi mara 3 mfululizo tangu kufukuzwa kwa kocha mkuu wa timu.
Ratiba kamili ya michuano mbalimbali barani ulaya ni kama ilivyo hapo chini

ENGLAND: EPL
West Bromwich Albion VS Arsenal 15:30
Stoke City VS Chelsea 18:00
Everton VS Hull City 18:00
Crystal Palace VS Watford 18:00
Sunderland VS  Burnley 18:00
West Ham United VS  Leicester City 18:00
AFC Bournemouth VS Swansea City 20:30

Spain - LaLiga Santander March 18
Eibar VS Espanyol 15:00
Athletic Bilbao VS Real Madrid 18:15
Alaves VS  Real Sociedad 20:30
Real Betis VS  Osasuna 22:45

KILABU BINGWA AFRIKA March 18
CNaPS Sport VS  Cotonsport 14:30
Zanaco FC VS Young Africans 16:00
Mounana VS Wydad de Casablanca 17:00
RC Kadiogo VS USM Alger 18:00
Al Merrikh VS Rivers United FC 20:00
FUS Rabat VS Al Ahli Tripoli 22:00


SHIRIKISHO AFRIKA March 18
Ulinzi Stars VS Smouha SC 15:00
Ngezi Platinum VS Recreativo do Libolo 15:00
Le Messager Ngozi VS ZESCO United  16:00
Rayon Sports VS Onze Createurs  16:30
Young Sport Academy VS CS Sfaxien  17:00
APEJES Academy VS ASEC Mimosas  17:00
Sporting Club de Gagnoa VS Maghreb Fez  18:00
Ittihad Tanger VS Kaloum Star 20:00
Al Masry Club VS Djoliba  20:00
JS Kabylie VS Etoile du Congo 20:00
Platinum Stars VS Vipers SC 21:00



Related Posts:

  • MOURINHO NA VAN GAAL KUFANYA KAZI PAMOJA UNITED Man U wameripoti kwamba wameamua kufanya mabadiliko ya Uongozi wa juu lakini Van Gaal atabaki United. Louis Van Gaal atapewa majukumu ya juu ya utawala katika klabu hiyo ili kumpisha Mourinho kuchukua nafasi hapo Unite… Read More
  • BRENDAN RODGERS KOCHA MPYA CELTIC Rodgers aliyetimuliwa na Liverpool mwezi October 2015 amechukua nafasi ya kocha Ronny Deila aliyeachia ngazi katika klabu ya Celtic ya nchini Scotland. Kocha huyo wa Zamani wa Liverpool na Swansea amesaini mkataba wa mie… Read More
  • TIMU YA SAMATTA YAIBAMIZA ANDERLECHT 5 - 2 GENK 5 - 2 ANDERLECHT WAFUNGAJI;KRC GENK L. Bailey 45'+, T. Buffel 65', Pozuelo 76', O. Ndidi 78', N. Karelis 90'+ ANDERLECHT; F. Đuričić 25', M. Suárez 60' … Read More
  • HATIMA YA SERENGETI BOYS KUJILIKANA LEO Timu ya soka ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 "Serengeti Boys" inashuka dimbani tena leo Mei 21 kucheza na Malaysia. Serengeti Boys inayofanya vizuri katika michuanao hiyo huko nchini India ilifanikiw… Read More
  • WENGER KUMWONGEZA MKATABA JACK WILSHERE Meneja Wa Arsenal Arsene Wenger Amepanga Kumwongezea Mkataba Mrefu Zaidi Wilshere. Arsene Wenger  ana mpango wa muda mrefu na Jack Wilshere hivyo kupanga kumwongezea mkataba utakaomuweka klabuni hapo kwa muda mrefu … Read More

0 comments:

Post a Comment