Saturday, February 18, 2017

Yanga 1 - 1 Ngaya, Yanga yapiga hatua moja mbele kilabu bingwa Afrika



Ngaya ndio wakwanza kujipatia goli dakika ya 21 kufuatia uzembe wa beki na mfungaji  Mzamiru Mohamed kuipa uongozi Ngaya.

Dakika ya 44 Hajji Mwinyi alipiga shuti kali liliomshinda golikipa na kujaa wavuni na kufanya ubao kusomeka Yanga 1 – 1 Ngaya mpaka mapumziko.

Kipindi cha pili kilionekana kupooza sana kwa kila timu, hii ilimainisha Ngaya walifuata sare na yanga nao walikubaliana na sare.

Mpaka mpira unamalizika Yanga 1 – 1 Ngaya.

Yanga iliwakilishwa na
1. Deogratius Munishi 
2. Juma Abdul
3. Haji Mwinyi
4. Vicent Bossou 
5. Kelvin Yondani 
6. Justine Zulu
7. Saimoni Msuva
8. Thabani Kamusoko 
9. Obrey Chirwa
10. Deusi Kaseke
11. Emanuel Martin

Akiba
- Ali Mustafa
- Hassani Kessy
- Oscar Joshua
- Vicent Andrew
- Nadir Haroub
- Saidi Juma
- Juma Mahadhi

YANGA INASONGA MBELE KWA USHINDI WA JUMLA WA GOLI 6  - 2.

0 comments:

Post a Comment