Sunday, February 12, 2017

kikosi cha yanga dhidi ya ngaya sc hiki hapa


kikosi cha yanga kimewekwa hadharani muda mchache kabla ya kuwakabili wenyeji wao Ngaya SC toka nchini Comoro.
mchezo utaanza saa tisa kamili (15:00)
1. Deogratius Munishi (gk)
2. Juma Abdul
3. Mwinyi Haji
4. Nadir Haroub
5. Kelvin Yondani
6. Justin Zullu
7. Saimoni Msuva
8. Thabani Kamusoko
9. Amisi Tambwe
10. Obrey Chirwa
11. Haruna Niyonzima
Akiba
- Ali Mustafa(gk)
- Hassani Kessy
- Oscar Joshua
- Emanuel Martin
- Juma Mahadhi
- Juma Saidi
- Deusi Kaseke
Kocha: George Lwandamina
● Mungu Ibariki Yanga SC.
● Mungu Ibariki Tanzania.

0 comments:

Post a Comment