SHABIKI WA RONALDO APIGWA FAINIShabiki aliyevamia uwanjani na kumkumbatia Christiano Ronaldo wakati wa mechi ya robo fainali kati Ureno na Poland amepigwa faini ya paundi 500.
Katika mechi ya robo fainali kati ya Ureno na Poland shabiki mmoja wa Ureno a…Read More
FIFA YAKATAZA WACHEZAJI KUSHEREHEKEA NA FAMILIA ZAO UWANJANIFifa inapanga kuzuia kitendo cha wachezaji kusherehekea ushindi na familia zao uwanjani katika michuano ya Euro inayoendelea huko nchini Ufaransa.
Mkurugenzi wa mashindano hayo Martin Kallen amesema zuio hilo ni kutokana n…Read More
RATIBA EURO 2016 HATUA YA MTOANO
Match 1: Switzerland v Poland – Jumamosi 25 June, 15:00 (Saint-Etienne)
Match 2: Wales v third place A/C/D – Jumamosi 25 June, 18:00 (Paris)
Match 3: Croatia v third place B/E/F – Jumamosi 25 June, 21:00 (Lens)
Match 4: Fr…Read More
ROY HODGSON AJIUZULU TIMU YA TAIFA UINGEREZAKocha wa England Roy Hodgson amejiuzulu nafasi yake kufuatia kutolea kwa timu yake katika michuano ya Euro walipokubali kipigo cha goli 2 - 1 kutoka kwa Iceland.
Hodgson 68 amekuwa kocha wa Uingereza kwa muda wa miaka minn…Read More
0 comments:
Post a Comment