Tuesday, June 14, 2016

VIDEO: UJUMBE WA ROY HODGSON NA ROONEY KWA MASHABIKI WA UINGEREZA




Tazama Video Hii Hapa Chini
Roy Hodgon "kama meneja ni wazi kuwa nina wasiwasi kuhusu usalama na vikwazo vinavyoweza kuwekwa juu ya timu yetu ya Uingereza, tumefanya kazi ngumu sana kufika hapa na tunataka kubaki katika mashindano, hivyo ninawaomba mashabiki wetu kuachana na vurugu,tunatambua sapoti yenu katika mechi zetu, hivyo nawaombeni muepuke vurugu na na musijaribu kufanya tena, sisi pia tutajitahidi kadri tuwezavyo kuhakikisha hali hii haiendelei, tunaweza kubaki katika mashindano haya kwa njia ya Soka"

Rooney "Napenda kuwashukuru mashabiki wetu wote kwa sapoti waliyotupa katika mechi dhidi ya Urusi na sasa tuna mchezo mkubwa mbele yetu dhidi ya Wales"
Bonyeza hapa ku-Like Page ya Soka24 Facebook

0 comments:

Post a Comment