“Milan Derby” Inter milan vs AC Milan
Macho na masikio ya wapenda soka duniani yatakuwa katika
dimba la San siro kushudia “Derby della Madonnina” ndio inavyofahamika kwa
lugha ya kiitaliano au “Milan Derby” kwa lugha ya kiingereza wakati timu
zinazotumia uw…Read More
VIta ya Jose Mourinho na Arsene Wenger ndani ya Old Traffod
Jose Mourinho kesho kutwa anakibarua kizito ndani ya Old
Trafford saaatakapokutana na Arsene Wenger ambae amedhamiria kukifanya kikosi cha
Arsenal kutwaa ndoo ya EPL msimu huu.
Manchester United inashuka dimbani huku i…Read More
Ancelot afurahia Zidane kukaribia kuvunja rekodi Real Madrid
Kocha wa zamani wa Real Madrid Carlo Ancelot ameshindwa kuficha furaha yake mbele ya aliekua msaidizi wake kipindi yupo Real Madrid Zinedine Zidane baada ya kucheza michezo 28 bila kupoteza.
Zidane ambae kabakisha miche…Read More
MATOKEO YA MICHEZO YA EPL LEO JUMAMOSI
Ligi kuu ya uingereza imeendelea tena leo kwa michezo sita
kupigwa katika viwanja sita tofauti
Mchezo wa mapema ulipigwa Stamford bridge pale Chelsea walipoiadhibu
bila huruma bingwa mtetezi wa ligi hiyo Leicester City k…Read More
0 comments:
Post a Comment