Saturday, June 18, 2016

RIPOTI YA KIBADENI JKT RUVU YAANZA KUFANYIWA KAZI

Kocha mkuu wa JKT Ruvu Abdallah Kibadeni amewasilisha ripoti yake kwa uongozi wa timu hiyo ikiwa na mapendekezo ya wachezaji anaotaka wasajiliwe na klabu.

Msemaji wa JKT Ruvu, Costantine Masanja, viongozi wa klabu hiyo tayari wameanza kuifanyia kazi ripoti hiyo.

"Tunajivunia wachezaji wetu wanajeshi ambao ni waajiriwa hivyo hatuna haraka sana ya kusajili kwa kuwa kuna watu wengi, na kama tunahitaji wachezaji raia itategemea na matakwa ya kocha wetu" alisema Masanja.

Msemaji huyo alisema licha ya mpango wa kusajili wachezaji wengine, wataendelea kuwa na wachezaji wanajeshi ambao ni waajiriwa wa serikali.

Bonyeza hapa ku-Like Page ya Soka24 Facebook


Related Posts:

  • Yanga Na Mwadui, Azam FC Na Mtibwa Michuano ya Ligi kuu Tanzania Bara maarufu kama Vodacom Premier League ( VPL ) inatarajiwa kuendelea tena hapo kesho kwa mechi mbili. Yanga iliyotoka kumenyana na Al Ahly juzi itawakaribisha vijana wa Jamhuri Kiwelu Julio … Read More
  • Mnyama Afanyiwa Ujangili TaifaTimu ya soka ya Simba SC imejikuta nje ya michuano ya FA baada ya kupokea kichapo toka kwa timu ya Coastal Union. Katika mchezo huo wa vuta nikuvute Coasta ilikuwa yakwanza kutikisa nyavu za Simba baada ya mchezaji Yusuf kupi… Read More
  • Kombe La FA Ngoma nzito.... Angalia matokeo ya droo hapa.Droo ya michuano ya Kombe la Shirikisho hatua ya nusu fainali, leo imepangwa. Mwadui FC imepangiwa Azam FC na mechi ya kwanza itachezwa mjini Shinyanga wakati Yanga wao watacheza na Coastal Union ambao wataanzia mjini Tanga. … Read More
  • "Sisi Mashabiki Wa Yanga Timu Hatuielewi Kwa Sasa" Mashabiki wa Yanga wameshindwa kuvumilia kinachoendelea kwa sasa katika timu yao hali iliyochangiwa pia na sare ya Juzi dhidi ya Al Ahly. Hali hiyo imepelekea Mashabiki hao kumfuata Kocha Charles Boniface Mkwasa anaeitumik… Read More
  • Kikosi Cha Yanga Dhidi Ya Mwadui Leo Hiki Hapa KIKOSI CHA YANGA LEO. 1. Deo Boniventura Munishi 2. Juma Abdul Japhary 3. Oscar Fanuel Joshua 4. Nadir Ally Haroub (C) 5. Pato George Ngonyani 6. Thaban Michael Kamusoko 7. Simon Happygod Msuva 8. Haruna Fadhil N… Read More

0 comments:

Post a Comment