Sunday, June 19, 2016

MECHI RIPOTI: MO BEJAIA 1 - 0 YANGA

KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA (CAF CC)
HATUA YA MAKUNDI


GROUP A

FULL TIME

MO Bejaia 1 - 0 Young African SC

Y. Salhi 20'                                                
                                       
Mbuyu Twite anapewa kadi ya njano dakika ya 90+ 2
Sofiane Boauli anapewa kadi ya njano dakika ya 90'+ 1
KADI NYEKUNDU: Haji Mwinyi 
MABADILIKO: Malek Ferhat NJE Anis Mouhli NDANI dakika ya 87'
MABADILIKO: Tambwe NJE Msuva NDANI dakika ya 86'
MABADILIKO: Smail Belkacemi NJE Benaouda Bendjelloul NDANI dakika ya 79' 
MABADILIKO: Deus Kaseke NJE Geofrey Mwashiuya NDANI dakikaya 74'
MABADILIKO: Yasine Salhi NJE Morgan Beltorangal NDANI dakika ya 71'
Haji Mwinyi anapewa kadi ya njano dakika ya 70'
Smail Belkacemi anapewa kadi ya njano dakika ya 64
Amiss Tambwe anapata kadi ya Njano dakika ya 45'
Donald Ngoma anapewa kadi ya Njano dakika ya 44'
MABADILIKO: Oscar Joshua NJE Haji Mwinyi NDANI dakika ya 33'
Haruna Niyonzima anapewa kadi ya Njano dakika ya 27'
Sofiane Khadir Anapata kadi ya njano dakika ya 22'
GOAL: Y. Salhi dakika ya 20'




MECHI ILIYOMALIZIKA HIVI PUNDE NCHINI CONGO DRC

FT' TP Mazembe 3 - 1 Medeama SC 
                              Kalaba 21', 73'            Okowuah 4'                        
Coulibaly 45'                         
                             

Ungana Na Soka24.blogspot.com Kwa Live Match Updates Moja Kwa Moja Kutoka Nchini Algeria....Usisubiri Kusimuliwa Fuatilia Mtanange Huu Moja kwa Moja Hapahapa Soka24

Related Posts:

  • MATCH PREVIEW: Coastal Union vs Yanga kombe la shirikisho Azam Sports Confederation Cup linaendelea tena leo katika hatua ya nusu fainali ambapo katika uwanja wa mkwakwani huko jijini Tanga, Wenyeji Coastal Union wanawakaribisha Vijana wa jangwani Dar Young … Read More
  • LIVE KUTOKA MKWAKWANI: Coastal Union Vs Yanga KOMBE LA SHIRIKISHO (ASFC) NUSU FAINALI MECHI IMEVUNJIKA KUTOKANA NA VURUGU ZILIZOANZISHWA NA MASHABIKI WA COASTAL UNION. HATIMA YA MCHEZO HUO UNASUBIRI RIPOTI YA KAMISAA PAMOJA NA MWAMUZI WA KATI WA MCHEZO HUO ILI KUIWE… Read More
  • LIVE KUTOKA SHINYANGA: Mwadui Vs Azam FC KOMBE LA SHIRIKISHO (ASFC) NUSU FAINALI FULL TIME ( PENALTI)MWADUI 3 - 5 AZAM FC  DAKIKA 120 Mwadui FC  2 - 2 Azam FC Mcha 3' Bocco 96' pata habari za michezo kwa haraka zaidi kupitia&nbs… Read More
  • LIVE KUTOKA MISRI: AL AHLY VS YANGA     KIPINDI CHAPILI - Full time Al Ahly 2-1 YangaKwa matokeo Haya, Yanga inayaaga mashindano haya. … Read More
  • MATCH PREVIEW: Mwadui VS Azam FC LEO ndio leo ndani ya Uwanja wa Mwadui, mjini Shinyanga, ambapo utashuhudiwa mchezo wa nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (Azam Sports Federation Cup) kwa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC kuvaa… Read More

0 comments:

Post a Comment