YANGA YAANZA VIBAYA HATUA YA MAKUNDI CAF CCMchezo wa kombe la shirikisho Afrika CAF hatua ya makundi kati ya MO Bejaia na Yanga umamalizika kwa Yanga kukubali kichapo cha goli 1 kwa bila, goli lililofungwa na Yassine Salhi dakika ya 20' ya Mchezo.
Kwa matokeo hayo Ya…Read More
CAF YAIBEBA YANGA KUELEKEA MECHI NA MAZEMBEShirikisho la Mpira wa miguu barani Afrika CAF, limewaidhinisha wachezaji watatu wa Yanga ambao walikuwa wanatumikia adhabu ya kadi kucheza, kucheza katika mchezo wao na TP Mazembe.
Wachezaji wa Yanga, Oscar Joshua, Nadir …Read More
CAF YAIFUTA ES SETIF KLABU BINGWA AFRIKAMabingwa mara mbili wa kombe la klabu bingwa Afrika, ES Setif wametolewa katika michuano hiyo kufuatia vurugu zilizofanywa na mashabiki wao.
Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika CAF limeiondoa klabu ya ES Setif kweny…Read More
KIKOSI CHA YANGA LEO DHIDI YA MO BEJAIA CAF CC
KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA (CAF CC)KUNDI A.
MO Bejaia (Algeria) Vs Young African SC (Tanzania).
Uwanja :- Unite Maghrebine.
Muda :-Saa 6 : 15 Usiku (Tanzania).
KIKOSI CHA YANGA LEO.
1: Deogratius Munishi 'Dida'
2…Read More
0 comments:
Post a Comment