Wednesday, May 18, 2016

YANGA SASA KUCHEZA HATUA YA MAKUNDI CAF CONFEDERATION CUP



TIMU ya Dar Young Africans imefuzu kucheza hatua ya makundi kombe la shirikisho barani Afrika baada ya kushinda kwa tofauti ya jumla ya magoli baada ya mechi yao na Sagrada iliyochezwa leo kumalizika kwa Yanga kufungwa 1 - 0 na kufanya jumla ya magoli kuwa Yanga 2 - 1 Sagrada.

Yanga ilishinda katika mchezo wake wa kwanza uliochezwa jijini Dar-es-salaam kwa jumla ya magoli 2 - 0 na leo Sagrada imeifunga Yanga Goli Moja hivyo Yanga kusonga mbele katika hatua ya Makundi.

Pongezi kubwa ziende kwa Deogratius Munish kwa kucheza penati waliyozawadiwa Esperanca katika dakika za mwisho za mchezo.


Related Posts:

  • VIDEO:MAGOLI YOTE, MEDEAMA 3 - 1 YANGA Tazama Ya Magoli Yote Hapa Chini Like Ukurasa Wetu Wa Facebook, Bonyeza  HAPA  … Read More
  • MATUMAINI PEKEE YALIYOBAKI KWA YANGA Kikosi cha Yanga leo kinatarajia kuishukia Mo Bejaia ya Algeria kama mwewe kwenye mchezo wa marudiano wa Kundi A, Kombe la Shirikisho utakaofanyika kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam. Yanga itaingia katika mchezo huo ik… Read More
  • VIDEO: TP MAZEMBE 1 - 0 MO BEJAIA KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA (CAF CC) HATUA YA MAKUNDI GROUP A TP Mazembe 1 - 0 MO Bejaia Like Ukurasa Wetu Wa Facebook, Bonyeza  HAPA  … Read More
  • KIKOSI CHA YANGA LEO DHIDI YA MEDEAMA SC KOMBE LA SHIRIKISHO BARANI AFRIKA (CAF CC) MEDEAMA SC VS YANGA SC KIKOSI CHA YANGA LEO 1. Deogratius Bonaventura Munishi - 30. 2.Juma Jafarry Abdul - 12. 3.Oscar Fanuel Joshua - 03. 4.Kelvin Patrick Yondani - 04. 5.Nad… Read More
  • VIINGILIO YANGA VS MO BEJAIA Wawakilishi pekee Afrika Mashariki katika michuano ya Kombe la shirikisho Barani Afrika CAF CC, timu ya Yanga inatarajiwa kushuka katika dimba la Taifa leo kuwakabili MO Bejaia katika mchezo wa kundi A ambalo lina timu za Ya… Read More

0 comments:

Post a Comment