Thursday, June 23, 2016

KIPA AONDOKA CHELSEA KWA MKOPA

Mlinda Mlando wa Chelsea Mitchell Beeney ameondoka klabu hapo kwa mkopo na kujiunga na klabu inayoshiriki ligi daraja la kwanza ya Crawley.

Beeney 20, hajawahi kucheza mechi yoyote ya ligi kuu tangu ajiunge na Chelsea na msimu uliopita alikuwa Newport kwa mkopo ambako alicheza mechi nne tu.

Like Ukurasa Wa Soka24 Facebook Hapa

0 comments:

Post a Comment