Mrembo Afichua Siri Za Christiano Ronaldo
Licha ya kuwa na majukumu mengi ya kuitumikia moja ya klabu kubwa duniani lakini Cristiano Ronaldo bado yuko vizuri kukimbizana warembo wakali.
Star huyo wa Madrid amekuwa na mahusiano na vimwana wenye majina makubwa kwa …Read More
Beki Kisiki Wa Manchester City Nje Tena Leo Dhidi Ya PSG
Nahodha wa Manchester City Vicent Kompany atakosa tena mechi ya robo fainali klabu bingwa Ulaya maarufu kama UEFA Champions League leo katika uwanja wa Etihad dhidi ya PSG.
"Hayuko fiti 100%, haiwezekani Kumchezesha…Read More
Kuwaona Leicester Dhidi Ya Everton Ni Sh. Milioni 37
Klabu ya Leicester City imetangaza kiingilio cha mchezo wao dhidi ya Everton utakaopigwa kwenye uwanja wao wa nyumbani,ambapo itakuwa Euro elfu 15 ambazo ni sawa na zaidi ya shilingi za kitanzania milioni 37 kwa kichwa kw…Read More
0 comments:
Post a Comment