Thursday, June 9, 2016

CHRISTIANO RONALDO AMDONDOSHA MAYWEATHER

Christiano Ronaldo amemshusha Floyd Mayweather katika orodha ya wanamichezo wanaolipwa zaidi duniani iliyotolewa jana na jarida la Forbes.


Hii ndio Orodha kamili.

1.Cristiano Ronaldo - football ($88m/£60.6m)
2. Lionel Messi - football ($81.4m/£56.1m)
3. LeBron James - basketball ($77.2m/£53.2m)
4. Roger Federer - tennis ($67.8m/£46.7m)
5. Kevin Durant - basketball (£56.2m/£38.7m)
6. Novak Djokovic - tennis ($55.8m/£38.46m)
7. Cam Newton - American football ($53.1m/£36.6m)
8. Phil Mickelson - golf ($52.9m/£36.46m)
9. Jordan Spieth - golf ($52.8m/£36.39m)
10.Kobe Bryant - basketball ($50m/£34.46m).

0 comments:

Post a Comment