Home »
Kimataifa
» SERENGETI BOYS YAMALIZA NAFASI YA TATU YAIPA KIPIGO KIZITO MALAYSIA
Timu ya vijana ya Tanzania Serengeti Boys imemaliza katika nafasi ya tatu katika michuano maalumu ya vijana yaliyofanyika huko Goa nchini India.
Serengeti boys walishinda mchezo Wa mwisho dhidi ya Malaysia kwa 3-0 maboa ya vijana wa timu hiyo yalifungwa na Rashid Abdallah, , Shabani Zuberi, na Muhsini Malima.
0 comments:
Post a Comment