Tuesday, May 24, 2016

MARCA YATOA LIST YA WACHEZAJI 16 WANAOHUSISHWA KUSAJILIWA NA MOURINHO

Dirisha la usajili bado halijafunguliwa rasmi hadi June 19 na Mourinho bado hajathibitishwa kuwa kocha wa Man United baada ya kumfukuza kazi Louis Van Gaal.



Hilo halijazuia uvumi wakimichezo unaowahusisha wachezaji kusajiliwa katika klabu mbalimbali hasa kwa Mourinho ambaye anasubiriwa kutangazwa kuwa kocha mkuu wa United.
Man U imehusishwa na kuwasajili wachezaji wengi sana mara dirisha la usajili litakapofunguliwa.

Mtandao wa Habari wa Hispania unaojulikana kama Marca umekusanya habari za usajili unaohusisha kufanywa na Mourinho United katika vyombo mbalimbali vya habari yakiwemo magazeti na  kutoa orodha ya majina 16 ya wachezaji ambao wanahusishwa na kusajiliwa na Jose Mourinho mara atakapotangazwa kuwa kocha wa United.

Wachezaji hao ni;



0 comments:

Post a Comment