Monday, May 23, 2016

VAN GAAL ATUPIWA VIRAGO MAN U




Aliyekuwa kocha wa Man United Louis Van Gaal ametimuliwa rasmi kikosini hapo yeye na jopo lake lote Daily Mail imeripoti.

Kutimuliwa huko kwa Van Gaal kunatoa fursa sasa kwa Mourinho aliyehusishwa na kujiunga na United tangu afukuzwe kazi na Chelsea kuchukua nafasi ya Mdachi huyo.





Endelea kuungana na Soka24 kwa ripoti zaidi......

0 comments:

Post a Comment