Saturday, April 9, 2016

Ndanda Kosovo Afariki Dunia

Ndanda Kosovo Enzi Za Uhai Wake
Mwananamuziki maarufu wa dansi nchini, Ndanda Kosovo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Taarifa zinazotufikia, zinaeleza Ndanda amefariki dunia baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa tumbo.

“Alikuwa akiumwa tumbo na inaonekana kuna mishipa ilipasuka kwa ndani, ndiyo hivyo ametutoka,” alisema King Dodo.

Tumeelezwa mwili wake umehifadhiwa katika hospitali ya Mwananyamala jijini Dar es Salaam.

Ndanda aliyekuwa maarufu kama "Kichaa" au Mjelajela" alitamba akiwa na bendi ya FM hasa baada ya wanamuziki wake kuswekwa lupango kutokana na kukosa kibao cha kuishi nchini.

Related Posts:

  • Yaliyojiri Uwanja Wa Taifa Leo Kati Ya Yanga Na Al Ahly Waamuzi Wa Mechi Ya Yanga na Al Ahly Leo Ile mechi ya klabu bingwa Afrika ikiyosubiriwa kwa hamu na wapenzi wa soka kati ya Yanga ya Tanzania na Al Ahly kutoka Misri imemalizika kwa timu hizo kutoka sare ya 1 - 1. … Read More
  • Kipre Tchetche Azifukuzia Rekodi Za Mbwana Samatta Ufungaji Bora CAF MSHAMBULIAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Kipre Tchetche, ameingia kwenye orodha ya wachezaji wanne wanaofukuzia ufungaji bora wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika mwaka huu. Tchetche ameingia … Read More
  • Kiiza Yamkuta Tena Afukuzwa Kambini SimbaKOCHA wa Simba, Jackson Mayanja sasa ameingia kwenye ugomvi mkubwa na Mganda mwenzake, mshambuliaji Hamisi Kiiza. Mayanja amemfukuza Kiiza kambini Ndege Beach, nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam kwa shutuma za utovu wa nidha… Read More
  • Farid Na Messi Waikalisha Esperance De Tunis Azam fc imefanikiwa kuichapa timu ya Esperance kutoka nchini Tunisia kwa mabao mawili kwa moja. Esperance walikuwa wa kwanza kupata bao dakika ya 33 ya mchezo kupitia kwa mchezaji wake Haithem Jouini. Hadi timu zinakwenda m… Read More
  • Ndanda Kosovo Afariki Dunia Ndanda Kosovo Enzi Za Uhai Wake Mwananamuziki maarufu wa dansi nchini, Ndanda Kosovo amefariki dunia usiku wa kuamkia leo. Taarifa zinazotufikia, zinaeleza Ndanda amefariki dunia baada ya kusumbuliwa na ugonjwa wa tumbo. … Read More

0 comments:

Post a Comment