UEFA CHAMPIONS LEAGUE 2016/17
FINAL
FULL TIME
Juventus 1 - 4 Real Madrid
Mandzukic 27' Ronaldo 20', 64'
Casemiro 61'
Asensio 90'
MATUKIO MUHIMU YANAYOJIRI UWANJANI
.......................
MPIRA UMEKWISHAAAAAAA MADRID BINGWA TENA AKICHUKUA MARA YA PILI MFULULIZO NI REKODI YA PEKEE HII INAYOWEKWA NA MADRID
.............
Imeongezwa dakika 1
................
Goooooooooooaaaaaaaaaaaaaal
.............
Asensiooooooooooooooo
..........
Mabadiliko: Kroos Nje; Morata Ndani
..........
Kadi Nyekundu: Cuadrado
.........
Mabadiliko: Isco Nje ; Asensio Ndani
...........
Mabadiliko: Benzema Nje; Bale Ndani
............
Mabadiliko: Miralem Pjanić Nje; Claudio Marchisio Ndani
..........
Kadi ya Njano: Pjanic
.............
Mabadiliko: Andrea Barzagliuan Nje: Guillermo Cuadrado Ndani
Goooooooooooaaaaaaaaaaaaal
............
Ronaldooooooooooooo
..........
Goooooooaaaaaaaaaaaaaaaaaal
..........
Casemirooooooooooooooo
..........
Kadi ya njano: Kroos
..........
Alves yuko chini baada ya kuchezewa faulo na Marcelo, anainuka na mpira unaendelea
............
Bonucci yuko chini pale, anatolewa nje, mpira unaendelea.....anaingia tena
............
kona kuelekezwa katika lango la Juve, piga kuleeee, lakini Verane anapiga nje mpira ule
............
kipindi cha pili kimeanza
............
Mpira ni MAPUMZIKO
..............
Zinaongezwa dakika 2
............
Kadi ya Njano: Carvajal baada ya kumchezea faulo Mandzukic
.............
mpira unaendelea, unarushwa kuelekezwa katika lango la Madrid
............
Mandzukic yuko chini pale, ni baada ya kufanyiwa madhambi na Carvajal
............
Kona kuelekezwa katika lango la Madrid, piga lakini unaokolewa vizuri na Ramos
.............
Freekick nyingine inapigwa kuelekeza lango la Madrid, Piga kuleeeee, lakini unaondolewa na beki za madrid
............
Faul kuelekea katika lango la Madrid, ni nje kidogo ya eneo la 18, pigaaaa unababatiza ukuta wa Madrid
.............
Madrid wanakosa nafasi ya wazi kabisa pale, Benzema anapiga hovyo mpira wa kichwa ule
...........
Kadi ya Njano: Sergio Ramos
.............
Mario Mandzukic anaisawazishia Juve
...............
Gooooooaaaaaaaaaaaaaaaaaalll
...........
wanakwenda Madrid kueleeeeee, anapiga fyongo mpira ule mabeki wa Juve wanaondosha hatari ile langoni kwao
.............
Juve wanalisakama lango la Madrid sasa
..............
Gooooooooaaaaaaaaaaaaaaaal
............
Anakwenda kule Ronaldooooooooooooooooo
..........
Mpira ni wa kasi sana
..........
Ronaldo analisogelea lango la Juve, bado anakwenda, anajaribu kupiga lakini beki wanamzuia mwamuzi anasema tuendelee
..........
Madrid wanamiliki mpira sasa .........
Wanakwenda Madrid, Benzema anapiga krosi kule, lakini mabeki wa juve wanauondosha mpira ule
..........
Kadi ya Njano: Dybala
.......... Ronaldo anaangushwa katika eneo la penati box lakini mwamuzi anasema mpira uendelee .........
wanakwenda Juve, lakini mlinda mlango wa madrid anauwahi mpira ule
.........
Juve wanamiliki sana mpira katika dakika hizi za mwanzo
.........
Juve wanalisakama lango la Madrid piga shuti kali kulee, Navas anaucheza mpira ule .........
Juve wanapata nafasi kule piga shuti lakini Mlinda mlango anaokoa mpira ule

Mpira Umeanza .........
Manahodha wa timu zote wako katikati ya uwanja pamoja na waamuzi
..........
Timu sasa zinaingia Uwanjani
...........
Timu zinajiandaa kuingia Uwanjani
..........
Burudani Bado Zinaendelea Uwanjani
..........
Shamrashamra za kuukaribisha mtanange huu zinaendelea, vikundi mbalimbali vinatoa burudani

Vikosi Vya Timu Zote;
Real Madrid starting XI: Keylor Navas, Carvajal, Varane, Ramos, Marcelo, Casemiro, Kroos, Modric, Isco, Ronaldo, Benzema.
Juventus starting XI: Buffon, Barzagli, Bonucci, Chiellini, Alves, Alex Sandro, Pjanic, Khedira, Mandzukic, Dybala, Higuain.
Fuatilia Mtanange huu wa kukata na Shoka kati ya Hao Wababe Wawili Wakichuana Kuwania Ubingwa Wenye Heshima Kubwa Zaidi Barani Ulaya. Ni hapahapa Soka24
0 comments:
Post a Comment