Monday, June 5, 2017

BAD NEWS: TIOTE AANGUKA GHAFLA NA KUPOTEZA MAISHA

kiungo wa zamani wa Newcastle, Cheick Tiote ameanguka ghafla na kupoteza maisha akiwa mazoezini katika timu yake ya Beijing Enterprises inayoshiriki ligi daraja la pili.


Kiungo huyo ambaye amewahi kuwa tegemeo katika kikosi cha timu ya taifa ya Ivory Coast anakutwa na umauti ikiwa ni miezi minne tu tangu ajiunge na klabu hiyo.


Mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi, Ameen

Related Posts:

  • CAMEROON YAPATA PIGO, MUNGINE AFARIKI UWANJANI Kiungo wa timu ya Taifa ya Cameroon na klabu ya Dinamo Bucharest, Patrick Ekeng amefikwa na mauti muda mchache mara baada ya kudondoka uwanjani wakati akiitumikia klabu yake katika mchezo dhidi ya klabu ya Viitorul Const… Read More
  • LUIS SUAREZ ATUMA UJUMBE HUU KWA LIVERPOOL Kufuatia ushindi wa 3 - 0, walioupata Liverpool jana dhidi ya Villarreal katika mchezo wa pili wa nusu fainali ya kombe la Europa League, Mchezaji wa zamani wa klabu hiyo ya Liverpool Luis Suarez amewatumia ujumbe wa pon… Read More
  • BAYERN MUCHEN MABINGWA BUNDESLIGA 2015/16 Bayern Muchen wametwaa ubingwa kwa mara ya nne mfululizo baada ya kuichapa Ingolstadt kwa jumla ya magoli 2 - 1. Bayern wametwaa ubingwa huo kwa mara ya 27 katika ligi kuu ya Nchini Ujerumani. Magoli yaliyofungwa dakik… Read More
  • SEVILLA KUCHEZA FAINALI MARA YA 3 MFULULIZO KLABU Ya  Sevilla ya Nchini Hispania imefanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 3 - 1 jana katika mchezo wa pili wa nusu fainali ya kombe la Uefa Europa League ilipocheza na Shakhtar. katika mchezo wa kwanza timu h… Read More
  • LIVERPOOL YATINGA FAINALI YAISHUSHIA KIPIGO VILLARREAL TIMU Ya Liverpool kutoka nchini England jana usiku imefanikiwa kuibuka na ushindi katika mchezo wao waliocheza na Klabu ya Villarreal kutoka Nchini Hispania, Mechi ya pili ya nusu fainali ya Uefa Europa league, iliyochez… Read More

0 comments:

Post a Comment