Michuano ya AFCON inayoendelea huko nchini Gabon, imekamilisha hatua ya makundi ambapo sasa zinasubiriwa mechi ya hatua ya robo fainali zitakazochezwa Wikiendi hii.
Jambo lililoleta msisimko mkubwa katika michuano hiyo ni jinsi timu vigogo zilizokuwa zinapewa kipaumbele katika mbio za kuwania taji hiyo kubwa kabisa barani Afrika, kufungishwa virago mapema tu kunako hatua ya makundi, nchi hizo ni Ivory Coast pamoja na Algeria, Ivory Coast ambao ndio walikuwa mabingwa watetezi wa kombe hilo la AFCON.
Katika mechi hizo za hatua ya makundi, wachezaji mbalimbali wamefanikiwa kutwaa tuzo za mchezaji bora wa mechi "Man Of The Match".
Soka24 inakuletea list ya wachezaji wote waliotwaa tuzo hizo hapa chini;

0 comments:
Post a Comment