Thursday, January 26, 2017

Takwimu Za Upachikaji Mabao AFCON 2017 Hatua Ya Makundi

Michuano ya Kombe la Afrika maarufu kama AFCON, imekamilisha hatua ya makundi huku ikishuhudiwa nchi vigogo zikiyaaga mashindano hayo kama vile Algeria na Ivory Coast.


Kuna mengi yakuvutia katika michuano hiyo inayotimua vumbi huko nchini Gabon, Hapa tuangazie takwimu za upachikaji mabao katika michuano hiyo hatua ya makundi.



0 comments:

Post a Comment