Saturday, January 28, 2017

Haya Ndo Yaliyowakuta Tunisia Robo Fainali AFCON 2017 Leo

Mchezo wa robo fainali ya kwanza kati ya Burkna Faso dhidi ya Tunisia umemalizika kwa Tunisia kukubali kipigo cha mabao 2 - 0.

Magoli ya Burkina Faso yalipatikana mnamo dakika za majeruhi kabisa za 81' na 84' yakifungwa na Bance na Nakoulma.

Kwa matokeo hayo Burkina Faso inatinga moja kwa moja katika hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo inayotimua vumbi huko nchini Gabon,

Mechi nyingine itakayopigwa usiku huu ni kati ya Senegal dhidi ya Cameroon

0 comments:

Post a Comment