Saturday, January 28, 2017

MATOKEO FA:Chelsea,Man City Zashusha Kichapo, Liver Yadunguliwa

MATOKEO FA, LEO JANUARY 28,2017



Mechi inayoendelea hivi Sasa, Ni Southampton dhidi ya Arsenal, na hadi saa Arsenal iko mbele kwa magoli matatu yaliyofungwa na Welbeck 15', 22', na  Walcott 35'

0 comments:

Post a Comment